-Mhubirir wa kanisa la House of Hope mtaani Kayole alitabiri kuwa boma la naibu rais William Ruto lingevamiwa
-Mhubiri huyo alikuwa amewaonya Uhuru na Ruto dhidi ya kusalimia kila mtu mkononi akidai kuwa usalama wao umo hatarini
- Godfrey Migwi alitaka viongozi hao wawili kuwa makini hasa baada ya kifo cha waziri wa usalama ,Joseph Nkaissery
Mhubiri mmoja amedai kuwa alitabiri kuwa boma la naibu rais William Ruto lingevamiwa na watu wasiojulikana kwa nia ya kusababisha maafa.
Habari Nyingine:Msichana mrembo aliyekosana na mjukuu wa Kibaki apata mpenzi mwingine (picha)

Habari Nyingine:Huyu ndiye afisa wa polisi mrembo zaidi nchini Kenya? (picha)
Godfrey Migwi alikuwa amemuonya awali Rais Uhuru Kenyatta siku chache baada ya kifo cha waziri wa usalama wa ndani,Joseph Nkaissery.
Kwenye ukurasa wake wa Facebook, Migwi alisema kuwa shetani ametawala nchi hii na anataka kuleta machafuko wakati huu wa uchaguzi.

Habari Nyingine:Mtangazaji wa Citizen TV Lilian Muli aonyesha ndani ya nyumba yake ya kifahari (picha)
" Nilisema na bado nitazidi kusema, usalama wa Rais Uhuru Kenyatta na wa naibu wake unapaswa kuimarishwa, huu ni wakati hatari sana hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Tunafaa kuomba na tuwe makini sana,"Migwi aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Migwi alisisitiza kwamba,baada ya kifo cha Nkaiserry,ilikuwa wazi kwamba maisha yao yametikiswa na hivyo usalama wao unapaswa kuimarishwa kabisa.
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosRead ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe?Tuma ujumbe kwa mhariri:mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaYVygpZmoq6skaOubrrAZqShrZKev6p5wKWgsp2klq%2BqvshmrK%2BZnZ7HqnnWmmSmmZuWvG7FwGauoqSZlrpuvtStpmegpKK5