Posts

Monica Kimani aliyeuawa Kilimani, Nairobi kuzikwa Ijumaa hii

published on
- Marehemu alikuwa na umri wa miaka 29 na atazikwa nyumbani kwao Gilgil, Septemba 28 - Washukiwa wa kifo cha Monica Kimani, wamekamatwa huku uchunguzi zaidi ukiendelea - Irungu ni mchumba wa mwanahabari Jackie Maribe na pia alikamatwa baada ya uchunguzi kubaini alimtembelea Monica Familia ya marehemu Monica Kimani aliyeuawa katika nyumba yake eneo la Kilimani, Nairobi, inapanga kumzika Ijumaa, Septemba 28. Kulingana na familia ya mfanyabiashara huyo ambaye hadi kifo chake alikuwa na umri wa miaka 29, atazikwa nyumbani kwao Gilgil, Kaunti ya Nakuru Read More...

Orodha ya Majina ya Viongozi Wanaomezea Mate Wadhifa wa Unaibu wa Rais

published on
Huku siasa za 2022 zikichacha, wanasiasa maarufu kutoka eneo la Mlima Kenya wamekuwa wakimezea mate nafasi ya unaibu wa rais ambayo kwa sasa inashikiliwa na DP William Ruto. Baadhi yao wanatafuta nafasi hiyo kutoka kwa naibu Rais William Ruto na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ambao wote wametangaza kuwania kiti cha urais 2022. Hii haa orodha ya baadhi ya magavana ambao wanakimbilia nafasi ya ugombea wenza wa urais katika uchaguzi mkuu wa 2022; Read More...

Read All The Latest News About Ethiopia On Naija News

published on
Nigeria News10 months ago Reps Summon Abike Dabiri, Foreign Affairs Minister Over Maltreatment Of Nigerians In Ethiopia The Minister of Foreign Affairs, Yusuf Tuggar, and the chairman of the Nigerians In Diaspora Commission, Abike Dabiri, have been summoned on Thursday by the House... ncG1vNJzZmivp6x7r63Io5innaeoe6S7zGirqKiZmHymwMeipqmhkWQ%3D