Posts

Kalonzo haogopi chochote, jua alichomwambia Ruto baada ya kumtishia

published on
- Mgombea mwenza wa kiti cha urais katika muungano wa NASA, Kalonzo Musyoka amemhimiza naibu rais William Ruto kumkamata badala ya kushinda akimtisha tisha - Haya yanajiri baada ya shirika moja lisilo la kiserikali kufunga akaunti za shirika lingine linalomilikiwa na Kalonzo Habari Nyingine: Hii ni kaunti itakayotoa mbunge wa kwanza Mukurino baada ya uhuru? Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka ameanzisha vita upya dhidi ya naibu rais William Ruto na mkurugenzi wa mashirika yasiyo ya kiserikali Fazul Mohammed baada ya kufunga akaunti zake na kumhangaisha kibiashara. Read More...