Posts

Luis Miguel (Singer) - On This Day

published on
Full Name: Luis Miguel Gallego Basteri Profession: Singer Biography: Luis Miguel is a Mexican singer and record producer who is one of the most successful artists in Latin American history. Known as "El Sol de Mexico," Luis Miguel has been recognized for his contributions across various musical genres, including pop, ballads, boleros, tangos, jazz, big band, and mariachi. He has won multiple Grammy and Latin Grammy Awards, sold around 60 million records worldwide, and has established a record-breaking legacy as a live performer. Read More...

Naibu gavana apewa siku 2 kuhama afisi yake

published on
Naibu gavana Isiolo amepewa siku mbili kuondoka afisini katika kile amefahamishwa ni kuruhusu ukarabati kufanyika. Abdi Issa alitakiwa aondoke afisini kufikia Mei 13 licha ya kuwa hajafahamishwa anapofaa kuhamia. Habari Nyingine: Jubilee waliiba ushindi wa Raila 2013 na 2017, Moses Kuria asema Kulingana na ripoti ya shirika la habari la KNA, Issa amekuwa akiteta kuhusu hujuma za kisiasa kutoka kwa baadhi ya wakuu wa kaunti hiyo. Inaarifiwa wasaidizi wa naibu huyo walipata notisi kwenye mlango kutoka kwa kampuni moja ya ujenzi. Read More...